Msaada: Incubator inauzwa bei gani?

Msaada: Incubator inauzwa bei gani?

expirience man

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
220
Reaction score
115
Naomba kujua kwa wazoefu masuala ya ufugaji wakuu incubator bei nafuu ni tsh ngapi na hupatikana wapi ?
 
Naomba kujua kwa wazoefu masuala ya ufugaji wakuu incubator bei nafuu ni tsh ngapi na hupatikana wapi ?

Mkuu unapo ulizia Incubator ya bei nafuu inakupasa pia utambue kuwa kuna automatic na Manual Incubator na bei pia zinatofautiana! Nina kaka yangu yupo Kibaha Maili moja anatengeneza hizi Incubator hapo hapo Kibaha! Pia yeye Ni Agent wa hizo machine Kama ukiitaji Za kutoka china Au Ujerumani . Ni Makini na Muaminifu sana hana longolongo kwenye kazi zake . Number zake hizi 0754 569 381 jina Abdallah . Piga mwambie nimeelekezwa na mdogo wako utapokelewa na kuhudumiwa vizuri pia anazo mashine ambazo zipo tayari sokoni na hata ukitaka kupeleka mayai ili utotoshelewe tu na kuondoka na vifaranga vyako vikiwa na afya bora Kwa mashine zake binafsi pia hilo linawezekana. Karibu sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom