M magneto Member Joined Jul 23, 2008 Posts 61 Reaction score 20 Aug 2, 2011 #1 wakuu wa tech nina mtumba wa esprimo mobile d9500 nimegundua kuna sehemu ya kupachika sim card nimejaribu kugoogle nijue namna ya kutumia naona nyota tu.nimeonelea si vibaya nikiomba msaada kwenu,thanks in advance
wakuu wa tech nina mtumba wa esprimo mobile d9500 nimegundua kuna sehemu ya kupachika sim card nimejaribu kugoogle nijue namna ya kutumia naona nyota tu.nimeonelea si vibaya nikiomba msaada kwenu,thanks in advance
M magneto Member Joined Jul 23, 2008 Posts 61 Reaction score 20 Aug 3, 2011 Thread starter #2 wakuu au ndo mmelizika na asante za kabla ya msaada, mnapotezea wadau wa IT!
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,694 Reaction score 2,588 Aug 3, 2011 #3 Utahitaji kuinstall software yao Globe Trotter (GT) na drivers tafuta kwenye Programs kama unayo tayari. Kama hauna: Kwanza jaribu hii DeskUpdate ambayo itaupdate drivers zote http://support.ts.fujitsu.com/include/OutputWriteLog.asp?Goto=*/DeskUpdate/DeskUpdate.asp?LNG=EN*,*Haupt*&WP=Deskupdate Kama hiyo ikishindwa nenda Downloads - Support - Fujitsu Kwenye select products chagua Notebook, kisha chagua model yako. Chagua OS yako. Nenda sehemu ya GPRS. Download hiyo software ya Globe Trotter (GT) latest version. Install. Enjoy.
Utahitaji kuinstall software yao Globe Trotter (GT) na drivers tafuta kwenye Programs kama unayo tayari. Kama hauna: Kwanza jaribu hii DeskUpdate ambayo itaupdate drivers zote http://support.ts.fujitsu.com/include/OutputWriteLog.asp?Goto=*/DeskUpdate/DeskUpdate.asp?LNG=EN*,*Haupt*&WP=Deskupdate Kama hiyo ikishindwa nenda Downloads - Support - Fujitsu Kwenye select products chagua Notebook, kisha chagua model yako. Chagua OS yako. Nenda sehemu ya GPRS. Download hiyo software ya Globe Trotter (GT) latest version. Install. Enjoy.
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,827 Reaction score 1,317 Aug 3, 2011 #4 kwa msaada ulioupata hapo juu I hope mambo yataenda mswano....ikikataa basi huenda itakuwa ishu ya Hardware....
kwa msaada ulioupata hapo juu I hope mambo yataenda mswano....ikikataa basi huenda itakuwa ishu ya Hardware....
M Masiko W. M. Member Joined Mar 9, 2010 Posts 41 Reaction score 4 Aug 4, 2011 #5 Kang said: Utahitaji kuinstall software yao Globe Trotter (GT) na drivers tafuta kwenye Programs kama unayo tayari. Kama hauna: Kwanza jaribu hii DeskUpdate ambayo itaupdate drivers zote http://support.ts.fujitsu.com/include/OutputWriteLog.asp?Goto=*/DeskUpdate/DeskUpdate.asp?LNG=EN*,*Haupt*&WP=Deskupdate Kama hiyo ikishindwa nenda Downloads - Support - Fujitsu Kwenye select products chagua Notebook, kisha chagua model yako. Chagua OS yako. Nenda sehemu ya GPRS. Download hiyo software ya Globe Trotter (GT) latest version. Install. Enjoy. Click to expand... I have the same problem with my dell latitude D830. Msaada tafadhali
Kang said: Utahitaji kuinstall software yao Globe Trotter (GT) na drivers tafuta kwenye Programs kama unayo tayari. Kama hauna: Kwanza jaribu hii DeskUpdate ambayo itaupdate drivers zote http://support.ts.fujitsu.com/include/OutputWriteLog.asp?Goto=*/DeskUpdate/DeskUpdate.asp?LNG=EN*,*Haupt*&WP=Deskupdate Kama hiyo ikishindwa nenda Downloads - Support - Fujitsu Kwenye select products chagua Notebook, kisha chagua model yako. Chagua OS yako. Nenda sehemu ya GPRS. Download hiyo software ya Globe Trotter (GT) latest version. Install. Enjoy. Click to expand... I have the same problem with my dell latitude D830. Msaada tafadhali
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,774 Reaction score 22,091 Aug 4, 2011 #6 fungua Dell then nenda support and driver weka model ya laptop yako na os alafu download file limeandikwa dell true gprs driver
fungua Dell then nenda support and driver weka model ya laptop yako na os alafu download file limeandikwa dell true gprs driver