Inawezekana mkuu
Kwa Dar chuo kisicho na mawenge Lugalo ila cha serikali japo ada sawa na private na kupata nafasi upambane.
Vyuo vilivyobaki vya private matataizo yao yanafanana chief elewa hilo kabla hujafanya maamuzi ila kuna vyenye afadhali so bora ukitaje iko chuo watu wakushauri pa kwenda.