Msaada: IDM kwenye Youtube

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Wakuu siku za nyuma nilikuwa natumia IDM kudownload video za YOUTUBE lakini siku za
hivi karibuni kila nikijaribu faili linakuwa na ukubwa wa KB.. yaani unaweza kukuta kb800
faili ambalo ukubwa halisi unaweza kuwa hata MB 25 naombeni msaada wenu nini kifanyike
ili niendelee kudownload file kama zamani.

NB. zamani zilikuwa zinakuja katika FLV FORMAT
But siku hizi linakuja kwa mfumo wa MP4
 
Cha msingi we tumia firefox halafu download add-on ya youtube. Hapo utakuwa unaweza kupakua videos za youtube direct from your browser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…