Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Copy that loud and clear! hold your breath son,maintain rule # five never trust a woman,once a liar alywayz a liar. Bravo Charlie air support Negative, I repeat Negative,prepare to defend yourself.
Bravo... I repeat no air support. You are in your own. Over.
yes soldier... gunship airsuport 2556-01,we are on air 68NW/360miles/hr take cover....take cover soldier... platoon 107, platoon 107 move back..move back.[emoji95][emoji95][emoji95]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kiukweli long distance ni changamoto sana kwenye mahusiano.. ukishakua unaishi mbali na mpenzi wako uaminifu hua ni wakutafuta na tochi...itoshe tu kusema hivyo
 
Ulilia [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]???? Yan umemkuta demu na Jamaa na bado unalia
 
Pole sana mkuu wangu,jifunze siyo kila mwanamke unapompata unampeleka kwa mama,pia kua busy na kazi zako tembelea mitandao ya kijamii kurefresh akili,mwisho wa siku utasahau, hata mm iliwah nipata,na naiman wanaume wengi tulishapitia hili.
 
Hili jamaa ni li nanga nyie achen tu[emoji23]

Hiv nyie mnaojifanya mmependa hiv mnatakaga mgundue nn
 
Bravo. Man down. I repeat man down... We are surrounded and we are taking heavy enemy fire. We need air support. Bravo do you copy?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]shimba eeehh umeshakuwa mtu mzima ujue !!!! yaani Mimi nilidhani unatoa ushauri !??
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi Bado Kuna watu wa type yako Duniani Daahh [emoji26]

Mdogo wangu ktk hii dunia ya Sasa Lilia kupendwa wewe na Kama utampenda mtu Basi iwe ni kiasi mpende mtu kwa moyo wako lakini ishirikishe na akili yako pia


Yaani unaanzaje kuvumilia mateso yote hayo yaani mapicha picha yote hayo uliyofanyiwa Bado tu upo ktk mahusiano na Huyo mtu ' Mtu unakazi yako tayari na unaweza kupata mwanamke mwingine endapo ukiamua so inakuwaje Huyo panya akusumbue Aisee hauitambui thamani yako !? Huko shule ulikwenda kusomea ujinga sindio !?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani ukiwa nice guy katika huu ulimwengu wa mapenzi wa tz utasomeshwa Sana namba utajuta kuzaliwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti kabisa anauliza Kati ya Mimi na huyu jamaa unampenda Nani damn it mtu umemfumania still unamuuliza swali Kama Hilo ili iweje yaani unataka aseme kwamba nakupenda wewe ili ujifariji kwamba kakosea bahati mbaya tu so muendelee kuwa katika mahusiano ..Aisee kweli kuishi kwingi ni kuona mengi
 
Mkuu Nina 27, Niko Matured Ila Hapa Nimekwama Sana
Uliruka stage wewe na hicho ndio kinacho kucost hayo Mambo unayo fanyiwa wenzako tulipitia tukiwa under 20 na tangu tutoke katika hayo mazingira hatujawahi kufanyiwa huo upumbavu Tena
 
We tatizo lako unawaza miaka 10 mlokàa,amua songa mbele miaka siyo ishuu jombaa
 
Asante Mkuu, Maneno Yako Ni Makal Ila Yameniingia Na Yanahakisi Nilivyo! Nawezaje Kutoka Hapa?
Yaani Tena unakaa nae mbali unashindwaje kumuacha yaani hicho kitendo cha kuishi nae mbali tu ni opportunity tosha kabisa ya kumsahau kwa sababu hautopata nafasi ya kusikia habari zake Wala kumuona endapo ukiamua iwe hivyo
 
Ni Kweli Bro Na Sijawahi Kumwambia Mtu Yeyote! Nikiamin Nita Hold Lakin Nimeshindwa Aisee Nipo Katika Hard Times.
Huyo mwanamke atakuharibia maisha yako. .so Kama unataka kuharibu Carrier yako endelea kuwa nae
 
Sijawahi Kuruka Hatua Bro, Ila Kiuhalisia Hapa Nimekwama Ndio Maana Nikaja Kuomba Ushauri! Ujana Mwing Nimepitia Bro
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu believe or not Kuna stage uliruka if ingekuwa haujawahi kuruka stage usingefanyiwa huo ulofa halafu ikawa Bado unaendelea kuwa na Huyo mtu Tena kwa kijana ambaye Yupo katika umri wako ahhhhh huo Ni ujinga kabisa pole
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…