Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

kwanza pole pia achana naye huyo hawezi badilikia hata....
 
stori yako ipo kama yangu mwisho wa siku jamaa ana watoto watat mama tofauti na bado nilimsamehe nikajua huyu ni wangu ila bado akawa anaendelea but nilivyojua thamani yng na kujipenda mm kabla ya wengne ndio nilivyomuacha mpk leo haamini km tumeachana ...
 
Aisee Kuna watu wapumbavu yaan demu anapat mimb ya jamaa mwingine na anatoa unajua kabsa
Af unurudian naye ten,
At Dem mwenywe anakuon we fala tu,
 
Naamini for now upo karibia 30yrs, kwa matukio hayo nazani unatafuta kufa kwa presha huko mbele ya safari, Mwanamke anakufanyia Mambo ya makusudi na wewe unakubaliana nae nae kuendeleza mapenzi jiangalie utakuja kujuta
 
sio pumbu tu yani na vuzi zake mk.nduni halafu anataka ushauri [emoji3][emoji3]
 
It will takes time, ila all in all kunanjambo umejifunza pitia mahusiano hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…