mkuu njia nzuri ni wifi, bluetooth ipo slow. kama computer yako ina wifi download software yoyote ya kuhamishia mafile na wifi kote kote mfano dukto halafu hamisha mafile yako.
kuhusu hio ya usb uli install driver zake? bila driver huwezi hamisha mafile na usb