Msaada: Huawei e173

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Wakuu heshima kwenu..
Naomba maelekezo ya kuunlock moderm ya huawei e173...au jinsi ya kutumia nokia pc suite ili ni access internet bila ku unlock..

Nawasilsha kwenu wakuu..
 
Bonyeza hapa, nokia pc suite ni software kwa ajili ya mawasiliano kati ya simu na pc, sasa sijakuelewa unamanisha nini nokia pc suite na utumie internet bila ku-unlock
 
Yaan mkuu niliskia kwamba unaweza kutumia internet pacpo ku unlock modem yko through nokia pc suite...yaan hauitaj ku unlock modem yko ukiwa na pc suite...hii ni trick hta humu ipo sema nimeshindwa kuupata uzi kwa sasa.
 
wakuu heshima kwenu..
naomba maelekezo ya ku unlock moderm ya huawei e173...au jinsi ya kutumia nokia pc suite ili ni access internet bila ku unlock..
nawasilsha kwenu wakuu..

Kama unahitaji kufungua huawei yako Modem. Unaweza kutembelea tovuti hii Theunlockarena.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua Modem yako huawei 173 kwa urahisi
 
Thnx mkuu..ngoja niangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…