Wadau, Simu yangu Huawei Ascend Y300 leo asubuhi wakati naitumia ghafla application zake zikagoma kufanya kazi, nikadhani labda itakuwa ime-stack ikabidi ni - restart, wakati inawaka ilipofikia kwenye nembo pamoja na neno "HUAWEI" ikagoma kuwaka ikabaki hapo hapo na hata nikitoa betri na kuirudisha nikiwasha tena inaishia hapo hapo. Naombeni msaada kwa anaejua tatizo kama hili maana ndo mara ya kwanza kutokea na ina miezi 4 tu toka niinunue tiGO. Naombeni msaada wenu tafadhari.
Asante sana, kwa bahati mbaya sikupewa hata warranty! hapa nadhani imekula kwangu pamoja na document zote muhimu zishapotea tayari.hizo simu asikudanganye mtu sio bora kama unavyoweza kufikiria, system yake haiko stable kabisa yani inabidi ukinunua tu uibackup maana hauchelewi kusumbua.Hadi niliamua kuamia tecno. cha msingi warudishie tigo kama ina warranty...
Mkuu,kwa mini hukupewa warranty? anyway pole sana.Asante sana, kwa bahati mbaya sikupewa hata warranty! hapa nadhani imekula kwangu pamoja na document zote muhimu zishapotea tayari.
izime alafu bonyeza volume up+ home button + power button kwa pamoja..ikiwaka achia power na shuka chini hadi kwenye hard reset uireset
Kwa moyo mkunjufu kabisa, naomba kuwashukuru wadau wote wa humu JF waliosoma uzi huu na kutoa msaada wao! Kwa kipekee Adolph kwa msaada wako ambao umeifanya simu yangu irudi tena hewani! Ukweli nilisha amua kuiacha na nikanunua Tecno H5 lakn baada ya kusoma ushauri wa Adolph nikafuata maelekezo mambo yakawa safi! Nawashukuru sana wadau! Kwa kweli JF idumu milele!!!! Na Huawei yangu tena ipo Hewani!!!
android zote lazima ziwe na home button.. kwenye huawei..icon ya katikati ndo home buttonHivi mie sijui mshamba sana ama vipi?
Huawei y300 ina home button?
nina tecno h5 nayo inatatizo hili kla inakataa hard reset inawaka na kuishia hapo hapo ikiwa imegandaizime alafu bonyeza volume up+ home button + power button kwa pamoja..ikiwaka achia power na shuka chini hadi kwenye hard reset uireset
Japo umedandia thread ya mwingine ilitakiwa uanzishe ya kwako. Tecno H5 inabidi uiflash tumia SP FLASHER tumia scatter file ili imei zako zisipoteenina tecno h5 nayo inatatizo hili kla inakataa hard reset inawaka na kuishia hapo hapo ikiwa imeganda