msaada huawei ascend 200

jollyjolly

Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
10
Reaction score
6
naomba msaada kwa anaejua tatizo la simu hii kwan bila sababu button zote yaan back,menu button hazifanyi kaz je nitatizo ninaloweza liondoa kwa kuiflash?
 
Siyo lazima flashing... Kwanza jaribu Hard Reset:
Steps
1. Zima simu yako alafu toa battery kwa sekunde kadhaa hivi
2. Rudisha battery kwa simu yako
3. SHIKILIA Volume UP(ya kuongezea sauti) + Power Button pamoja kwa sekunde kadhaa, achia Power Button(Ya kuzima) baada ya vibration..
4. Utaona Android recovery..
5. Chagua Factory Reset/Wipe data (tumia button za sauti kushusha na kupandisha)
6. Reset kwa kubofya Power Button kwenye option ya Factory Reset...
Baada ya kureset simu itawaka kama mpya, configure... If the problem itaendelea..mcheki fundi inawezekana Touch yako inashida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…