Msaada hp 250 g5 sound problem

Msaada hp 250 g5 sound problem

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
74
Mkuu hongera sanaa kwa hatua ulofikia ya kuon kuna umuhimu wa kutumi elimu ulonayo ya masuala ya computer kusaidia wenye matatizo.

Naomba msaada wako me natumia hp 250 g5 w10...
Nili update windows 10 baada ya hapo pc yangu imekuwa na ttzo la sound
Inaweza ikawa inaplay... Then suddenly sound inaanza kuscratch na badae inakata kabsa... Matokeo yake kama ni nyimbo inaplay bila sauti... Mpaka ni restart ndo tena inAtoa sauti...
 
Unatumia window 10 redstone?
 
Cha msingi angalia hp yao professional ni window gani?
Nakushauri Ondoa 10 weka window 7 kisha ulete mrejesho hapa!!!
 
Back
Top Bottom