peleka kwa fundi wa laptop alie karibu nawe aifanyie diagnosisWakuu mambo vip
Jana usku nimemalza kutumia pc yangu fresh tu,nikaizima nikalala
Leo naamka naiwasha haiwaki,nikachomeka adaptor mana nilihis haina moto, cha ajabu hata ile LED ya kwenye pc haiwaki kuonesha kama kuna moto unaingia
Nimejarbu kubadlisha adaptor lakin bila bila,nmejarbu kuwasha bila battery via adaptor lakin bado
Sasa naomba msaada wakuu shida hapa itakua nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
peleka kwa fundi wa laptop alie karibu nawe aifanyie diagnosis
Kesho nitajarbu kuisafisha...thanks mkuuYawezekana ni uchafu tu ndani ya pc...!
Jaribu kuipereka kwa fundi aifungue uone.
Hata yangu iliwahi kua hvo (mende walijaa kama maua)
Sent using Jamii Forums mobile app