Msaada: How to monitor/minimize power usage in Linux..

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
641
Wakuu ninatumia Linux Mint 64bit kwenye HP yenye RAM 4GB na processor 3GHz lakini tatizo ninaloona ni kwamba PC inakuwa inaheat sana.Yaani PC inaonekana kama inafanya kazi ngumu sana hata ninapokuwa natumia katika matumizi ya kawaida kabisa kama vile kusoma.PC ni nyepesi tu na inafaperform task zote vizuri tu.

In the same PC ninatumia W7 Home Premium 64bit na inafanya kazi very smootth at Base Rate ya 4.6.Ninaipotumia ktk power saver battery inakaa hadi masaa 3 au zaidi.Hii ni tofauti nikitumia Linux hata lisaa limoja halifiki.Na to be honest sijawahi kuitumia zaidi ya saa kwa kuwa naogopa kudamage pc yangu kutokana na kuheat sana.Linux naipenda naipenda sana ila tatizo hili linanitoa jasho.

So,wakuu naombeni mnisaidie namna gani naweza kumonitor power ili kupunguza au kumaliza kabisa tatizo hili.

Natanguliza shukurani..
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni tatizo la kawaida la Ubuntu/Mint linaonekana halina solution madhubuti. Probably drivers sio nzuri.
 

Iko hivi:
Natumia HP Pavilion g7
Nimetumia Linux Mint 14 yenye 64 bit
Ninapokuwa naitumia ktk matumizi ya kawaida kabisa;hata kusomea tu,lakini hata ninapokuwa nimeiwasha hata kama iko iddle,unaona kabisa inaovercome resistsnce fulani:kifupi inaheat.

Unfortunately,sijaweka programs zozote zaidi ya default,hata kwenye store sijadownload app yoyoke,maana nikifanya kuingia kwenye net ndio inakuwa balaa zaidi.
 

Time to learn!
Check hizi nyuzi mbili uone kama zinajibu swali lako.
Ukikwama sema umekwamia wapi!

OUCH! Laptop running SUPER HOT after 12.10 upgrade! - Ask Ubuntu

Can't install ATI proprietary drivers in 12.10 - Ask Ubuntu

Kwa ziada tazama hizi pia:
11.10 - HP pavilion g6 shutdown thermal overheating - Ask Ubuntu
[ubuntu] Laptop overheating + other issues

Angalizo:
Kabla ya kujaribu solution zote hizi unge upgrade Mint yako maana inaonesha ni aidha drivers issue au Kernel issue ambazo inawezekana ziko fixed. Check link hii:
The Linux Mint Blog » Blog Archive » Linux Mint Debian 201303 released!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…