Msaada msaada msaada.
Nina modem yangu ya zte ambayo niliifanyia debranding. Shida yangu nataka kuifanya hii modem iwe ina ji-start yenyewe badala ya mimi kui-start manually (plug & play). Nimejaribu NA nimeshindwa. Je kuna njia yoyote/software ya kufanya au kuwezesha ili?
Wanajamvi sijui maelezo yangu yanaeleweka?
Msaada mara zote naupataga hapa, na hii itakuwa mara nyingine.