MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,772 Reaction score 71,837 Sep 20, 2017 #1 Habari, Samahani, natumia simu ya Android lakini sasa najaribu kuunganisha na PC ili nipate nmtandao lakini kila nikiwasha HotSpot inajizima na haiwezi kufanya connection na PC tatizo nini? Natanguliza shukrani zangu.
Habari, Samahani, natumia simu ya Android lakini sasa najaribu kuunganisha na PC ili nipate nmtandao lakini kila nikiwasha HotSpot inajizima na haiwezi kufanya connection na PC tatizo nini? Natanguliza shukrani zangu.
BongoQualityGroup New Member Joined Jun 3, 2017 Posts 4 Reaction score 7 Sep 20, 2017 #2 Restart Pc Yako Then Forgot Password Ya Wi-Fi Kwenye PC Yako Then ziingize tena password ........ Hope Itakuwa poa tena
Restart Pc Yako Then Forgot Password Ya Wi-Fi Kwenye PC Yako Then ziingize tena password ........ Hope Itakuwa poa tena
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,772 Reaction score 71,837 Sep 20, 2017 Thread starter #3 BongoQualityGroup said: Restart Pc Yako Then Forgot Password Ya Wi-Fi Kwenye PC Yako Then ziingize tena password ........ Hope Itakuwa poa tena Click to expand... Shukrani sana mkuu
BongoQualityGroup said: Restart Pc Yako Then Forgot Password Ya Wi-Fi Kwenye PC Yako Then ziingize tena password ........ Hope Itakuwa poa tena Click to expand... Shukrani sana mkuu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,611 Sep 20, 2017 #4 Kama itafaa ifanyie factory reset uianzishe upya mkuu
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,772 Reaction score 71,837 Sep 20, 2017 Thread starter #5 Joseverest said: Kama itafaa ifanyie factory reset uianzishe upya mkuu Click to expand... Teh teh teh hapa nimefanya Factory Reset simu imefutika kila kitu mwenye nayo anataka hadi kuniua! Ila thanks mkuu nimepata mtandao πππ
Joseverest said: Kama itafaa ifanyie factory reset uianzishe upya mkuu Click to expand... Teh teh teh hapa nimefanya Factory Reset simu imefutika kila kitu mwenye nayo anataka hadi kuniua! Ila thanks mkuu nimepata mtandao πππ
Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,125 Sep 20, 2017 #6 BongoQualityGroup said: Restart Pc Yako Then Forgot Password Ya Wi-Fi Kwenye PC Yako Then ziingize tena password ........ Hope Itakuwa poa tena Click to expand... Hotspoti ikijizima? Ndio inatakiwa iwe ivi?
BongoQualityGroup said: Restart Pc Yako Then Forgot Password Ya Wi-Fi Kwenye PC Yako Then ziingize tena password ........ Hope Itakuwa poa tena Click to expand... Hotspoti ikijizima? Ndio inatakiwa iwe ivi?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,611 Sep 21, 2017 #7 Malcom Lumumba said: Teh teh teh hapa nimefanya Factory Reset simu imefutika kila kitu mwenye nayo anataka hadi kuniua! Ila thanks mkuu nimepata mtandao πππ Click to expand... poa mkuu
Malcom Lumumba said: Teh teh teh hapa nimefanya Factory Reset simu imefutika kila kitu mwenye nayo anataka hadi kuniua! Ila thanks mkuu nimepata mtandao πππ Click to expand... poa mkuu