Fikia new Dodoma hotel
Unataka iliyokatikati ya mji au pembeni
Kuna
1.morena
2.4 points
3. Dodoma hotel
4..giftland
5. Marryland
Haiya sasa kazi kako. Hyoo morena ina hadhi ya nyota tano mkuu.
kuna african dreams karibu na kwa waziri mkuu
Hapo ni kuanzia 40000-70000Nashukuru sana kaka unafaham viwango vya pesa kwa usiku mmoja
Parefu mkuu lazima ujipange, kama hawajapandisha unaweza kupata kwa 50,000 per day.Vip kuhusu bei mkuu
DE-LUX hotel iko area A bei nafuu, vumba full-conteined,pombe zipo, akina dada powa wapo,nyama choma usipime, kuku aina ya kuchi toka Singida nusu kuku humalizi ukitaka wa kuchoma wa kukaanga ni wewe tu.





