Si ufikie guest house tu boss
Wakubwa Salaam!!
Nimeitwa katika usaili Halmashauri ya wilaya ya Morogoro. Ninaomba msaada kwa anayefahamu ni hotel gani ninaweza kufikia ya bei ya Tsh 15,000/- kwa siku, mambo ya kula nitajua mbele ya safari.
Kama namba ya simu ya hotel hiyo inaweza kupatikana, nitashukuru ikiwekwa hapa ili tuweze kutoa oda ya chumba.
Asanteni
Nasher Hotel mkuu kwa raha zako,ukishindwa hapo Nenda pale kihonda kuna lodge kali sana.
Ukifika mjini mtafute dereva wa pikipiki yeyote mwambie akupeleke guest nzuri na iliyo karibu na hapo utakapotaka kufanyia shughuli zako.
kwa bei hiyo labda gest ila hotel sijui? kama hela ya kinywaji unayo kakeshe itigi