Msaada, hotel nzuri na salama Iringa mjini

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Wana jf, mnisaidie hotel ya kulala ya min tsh 8000, max tsh 15000. Pia naomba iwe karibu na mji na isiwe mbali na standi kuu ya mabasi ya mikoani! Shukrani!
 
[QUOaTE=Makaura;10792378]Wana jf, mnisaidie hotel ya kulala ya min tsh 8000, max tsh 15000. Pia naomba iwe karibu na mji na isiwe mbali na standi kuu ya mabasi ya mikoani! Shukrani![/QUOTE]

Kwa Hiyo Pesa Yako Nenda Pale Embalasasa Motel.
 
Wana jf, mnisaidie hotel ya kulala ya min tsh 8000, max tsh 15000. Pia naomba iwe karibu na mji na isiwe mbali na standi kuu ya mabasi ya mikoani! Shukrani!

Mkuu kwa bajeti hiyo tafuta guest house, siyo hotel, Pole
 
Kuna vya 15, vizuri! Maybe umechelewa tuu
 
Asanteni ndugu zangu! Nimefanikiwa kupata ya bei nzuri, japo nlienda ya Anglican wakaniambia zimebaki za familia tu!
 
Asanteni ndugu zangu! Nimefanikiwa kupata ya bei nzuri, japo nlienda ya Anglican wakaniambia zimebaki za familia tu, sikulza swali nliamua kuondka kmya kmya!
 
Wana jf, mnisaidie hotel ya kulala ya min tsh 8000, max tsh 15000. Pia naomba iwe karibu na mji na isiwe mbali na standi kuu ya mabasi ya mikoani! Shukrani!

Nenda pale Mfaranyaki Guest house kuna vyumba hadi vya buku tatu.Lakini mteja anatakiwa aende na godoro lake.
 
Wana jf, mnisaidie hotel ya kulala ya min tsh 8000, max tsh 15000. Pia naomba iwe karibu na mji na isiwe mbali na standi kuu ya mabasi ya mikoani! Shukrani!

Kwa bajeti hiyo ndugu yangu unapata gesti house, tena zile za kulala na kunguni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom