Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,429
- 36,605
Agha kanHabari wanaJF,
Mdogo wangu anatatizo la masikio kumuuma kwa ndani, naomba msaada wa hospital nzuri hapa Dar es Salaam ambayo naweza kumpeleka akatibiwa vizuri.
Msaada wenu ni muhimu
Asante
Asante sana mkuuAgha kan
Ekenywa magomeniHabari wanaJF,
Mdogo wangu anatatizo la masikio kumuuma kwa ndani, naomba msaada wa hospital nzuri hapa Dar es Salaam ambayo naweza kumpeleka akatibiwa vizuri.
Msaada wenu ni muhimu
Asante
Muhimbili mkuu,mimi pia nimesumbulia sana na hilo tatizo,ila Muhimbili ni suluhisho na wanavifaa vya kutosha,hosptali zingine ni bla bla madaktar wapo ila vifaa hamna.Habari wanaJF,
Mdogo wangu anatatizo la masikio kumuuma kwa ndani, naomba msaada wa hospital nzuri hapa Dar es Salaam ambayo naweza kumpeleka akatibiwa vizuri.
Msaada wenu ni muhimu
Asante
Jamaa wapo Vizuri kwa kweli kwenye masikio, Last week nilikuwa najikuna sikio na miwani kipande cha mkono kikavunjikia ndani! . waliniudumia kwa weredi mkubwa sana hawa jamaaNenda Ekenywa Magomeni! Wao wamespecialise kwny magonjwa kinywa tu (mdomo, masikio na pua)!
Nilikuwa naumwa sikio, nilienda pale na ambulance nikiwa katika hali mbaya sana nikapata huduma nzuri sana, nilipata special care kwa upande wa sikio, kuanzia hapo sijawai kupata tena tatizo la sikio
Gharama hazitishi???Nenda Ekenywa Magomeni! Wao wamespecialise kwny magonjwa kinywa tu (mdomo, masikio na pua)!