Msaada: Hivi shubiri inatibu magonjwa gani?

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,528
6,092
Nahisi ni dawa maarufu sana huku mikoa ya pwani. Je mnaojua mnaweza kuniambia inatibu nini?

Natanguliza shukrani
 
Ninavyoelewa shabu inafanya uke uwe tight sana na enzi nipo chuo wadada walikua wanatumia sana lakini madhara yake ni makubwa sana uke badae unalegea ns kujaa maaji
 
Back
Top Bottom