Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,049
- 773
ILA UKITUMIA FINAL CUT PRO 7 UTA-ENJOY SANA KATIKA VIDEO EDITING. INA FEATURES NYINGI SANA. NA SASA HIVI FINAL CUT PRO 7 IMETOLEWA NA INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA ADOBE SOFTWARE ZOTE (i.e inDESIGN CS5, PHOTOSHOP CS5 na ILLUSTRATOR CS5). Jikunje ununue MAC utaifirahia.
kaka mpya ni bei aghali humu kuna watu wanatangaza kuziuza pitia kwenye jukwaa la matangazonipo dasalamu...nitapata wapi hiyo MAC-IN-TOSH na mie ni-furahie na inauzwa tshs ngapi?
ILA UKITUMIA FINAL CUT PRO 7 UTA-ENJOY SANA KATIKA VIDEO EDITING. INA FEATURES NYINGI SANA. NA SASA HIVI FINAL CUT PRO 7 IMETOLEWA NA INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA ADOBE SOFTWARE ZOTE (i.e inDESIGN CS5, PHOTOSHOP CS5 na ILLUSTRATOR CS5). Jikunje ununue MAC utaifirahia.
yes. final cut pro inafanya kazi kwenye MAC computers. Ila kwenye compyuta za PC zipo editing software kibao (ie. ADOBE PREMIER ELEMENTS 9, iMOVIE, WINDOWS LIVE MOVIE MAKER, JAY CUT etc). Ila katika industry ya film/video editing, computers za MAC ni maarufu sana katika kazi ya ku-edit. Moja ya sababu ambazo inafanya PC(IBM) isiwe maarufu katika suala la ku-edit ni: iko-slow sana katika capturing, rendering, poor in real time EDITING CAPABILITIES, na pia PC huwa ina-crash sana wakati wa editing. Pia virus ina-affect sana PCs.
kama uko dar kuna duka la MAC pale shoppers plaza. na pia kuna mac dealer wanaitwa ELITE COMPUTERS wana ofisi karibu na Olympio primary school. Mie napenda kununua kitu NEW. Sipendi USED when it comes to computers! Bei ya new inaanzia $ 1999 hadi $ 2999.