Msaada ?Wakuu, hawa Azam TV wananichanganya kuhusu nani hasa ni kocha mkuu wa timu ya Azam.
Msaada tafadhari.
Dabo vyeti anavyo ila ahajafanya refesh course ,nadhani ndio tatizoDabo hana hata vyeti?
Haba vyeti vya kuweza kusimama kama kocha mkuu.
Kwenye makaratasi Kocha Mkuu ni Mzungu, kwenye Field kocha mkuu ni Dabo.
ANHAA KUMBEDabo vyeti anavyo ila ahajafanya refesh course ,nadhani ndio tatizo