Habarini Wakuu, naomba msaada juu ya hili..Nina huyu Girlfriend wangu akiwa anakribia zile siku za kuingia mwezini wakati wa sex huwa anatoa maji mengi sana ambayo ni meupe kabisa kama maji.
Je, hali hiyo ni kawaida? na kama sio kawaida tiba yake ni ipi?