Wadau kuna simu flani hivi kubwa zinA chata ya Apple like iphone hivi hizi zinaitwaje??

Nimeshaijua mkuu ni iPhone 6
Mmnh hapana mkuu hata sina hiyo iPhone ila nimeiona nikaipenda