Msaada: Hii PC inasumbua kuwaka

Msaada: Hii PC inasumbua kuwaka

mabakila1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2020
Posts
482
Reaction score
610
Kila nikiwasha pc inaandika

Boot device not found
Please install an operating system on your hard disk.
F2 system Diagnostics

Tatizo nini hapa wataalamu

1615108264046-230231004.jpg
 
Inaweza kuwa hard disk imekufa hasa kama umeidondosha au window tu imesumbua
 
Tatizo nahis Windows kuhusu kufa sina hakika subir kesho niende kariakoo nilipochukua hii pc
Huenda sata cable imechomika au Hdd imekaa vibaya.
Check kama viko sawa basi windows Au Hdd imeshajifia
 
Back
Top Bottom