google inaweza ku search web na image pia, unachotakiwa kufanya ni kufungua homepage ya google, itakuja search bar, kabla ya kuingiza chochote click kwenye image, then itakuja alama ya image mwisho wa hiyo search bar... hapo unaweza ku drag image kutoka kwenye computer yako na kuitupia kwenye serch bar then google ina i catch, ina upolad then inakuletea hiyo image imetokea kwenye web ipi...