Mkuu chief-mkwawa nimekuja kubaibi ni kweli nikiwa natumia while simu ipo kwa charge ndo inaleta hayo madudu bt nikiwa natumia while haipo kwenye charge haileti hiyoo kitu;; and natumiaa charge original ya samsung,...
Umejuaje kama ni original? Imekuja na simu?
Almost simu zote zinafanya hivyo zikichomekwa charger ambayo sio yake/original
Kuna tofauti kubwa kati ya s3 na s4.Hapana mkuu,, ilikuja na samsung s4... nilinunua s4 miezi kadhaa iliyopita,, hii s3 nimenunua kwa mtu mwezi uliopita bt aliyeniuzia hakunipa na charge, so natumia charge ya s4..
Kuna tofauti kubwa kati ya s3 na s4.
S3 (kama sio version ya marekani) inatumia soc ya exynos wakati s4(inaternational version) ni snapdragon hivyo vitu vingi vinakuwa haviingiliani sana kama hizo charger.
Unajua charger za siku hizi ni smart ndio maana zinazingua hivyo.
Mimi kwa s3 nilikuwa natumia zile chaja za kawaida za samsung zinazofanana na za nokia zenye rangi nyeusi