Msaada. Hiberfil.sys na pagefile.sys

katutumla

Member
Joined
May 27, 2010
Posts
42
Reaction score
11
Wadau ninatumia Windows 8 kwenye HP ENVY dv4 Core i5 lakini mafaili hayo niliyoyataja yanazidi kuongezeka ukubwa hivyo kula nafasi kwenye drive C. Hiberfil.sys limefika 6GB na pagefile.sys limefika 8Gb. Naogopa kuyafuta kwani ni system files. Kwa hiyo wataalamu nauliza hivi:
1. Ni salama kuyafuta mafaili haya?
2. Kama si salama nifanye vipi yasiongezeke na kunimalizia nafasi
3. Kama ni salama nayafutaje? Normal delete?

Nasubiri majibu.
 
Usijaribu kabisa kuyafuta. Hizo ni system files .sys
Ukiyafuta OS yako haitafanya kazi.

Cha msingi hakikisha kabisa system files zinakuwa hidden kupitia Folder Option kwenye control panel.

Kama unaona unaishiwa free space jaribu kutumia CCLeaner kufuta temporally files na u-wipe free space lakini sio kufuta hizo files.

Hizo size zisikupe presha sana:

Kwenye PC yangu hiberfil.sys ina 4.7 GB na pagefile.sys ina 1GB


C6 merge hii thread imejirudia karibu mara 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…