Msaada: (HESLB 25%) walioacha chuo na kujiunga na chuo kingine

PASCHAL'S SON

Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
29
Reaction score
3
Kwa waliotimiza vigezo vya 25% HESLB mkopo wao utatokalini jamani? Tunaomba msaada wakurugenzi.
 
Mkuu kuwa mvumilivu, maofisini kunakuwa na itifaki za kiofisi.... Mafaili ya wahusika huwa yanashughulikiwa kutoka ofisi au idara moja kwenda nyingine sasa kuwa mpole pesa zitatoka tu siku si nyingi.
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom