Msaada: Hawa ni watu gani na wanahusika na nini?

Wakuu
Wamenitumia meseji ya kawaida imeingia kama STATUS kama inavyoonekana hapo juu ikiwa na ujumbe huu;

Hello, you have been selected for a part-time/full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/Hazel885

Sasa ukifuata hio link inakupeleka Telegram ambako inasomeka kwa jina hilo la Hazel kama inavyoonekana hapo na inakutaka utume meseji au uanzishe mazumgumzo.

Sasa naomba anayejua anifahamishe hao ni akina nani maana mimi siwajui.

Ahasante.View attachment 2259671View attachment 2259672View attachment 2259673
Kimbia fasta toka nduki emu kimbia ukianguka amka kisha vumilia
 
Kimbia. Utapigwa sasa hivi. Usibonyeze bonyeze links za namna hiyo kwani unaweza ku-install virus au malware kwenye kifaa chako na ikakugharimu sana. Kuna malware nyingine ''zinaiba'' mpaka namba za siri za benki unakuja kukuta account yako imesafishwa.
Aisee,sawa
 
Wakuu
Wamenitumia meseji ya kawaida imeingia kama STATUS kama inavyoonekana hapo juu ikiwa na ujumbe huu;

Hello, you have been selected for a part-time/full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/Hazel885

Sasa ukifuata hio link inakupeleka Telegram ambako inasomeka kwa jina hilo la Hazel kama inavyoonekana hapo na inakutaka utume meseji au uanzishe mazumgumzo.

Sasa naomba anayejua anifahamishe hao ni akina nani maana mimi siwajui.

Ahasante.View attachment 2259671View attachment 2259672View attachment 2259673
Hata mie nipata huyo msg mara 2 .
 
Hawa ni MATAPELI hata mimi walinitumia alafu nikaungwa na huyu hapa.View attachment 2259722
Matapeli wote wa kwenye Telegram hutumia picha za wanawake tena wazungu na majina ya kike na customer care ya hali ya juu wanakuita " SIR" hayo yote ni madume ya Nigeria, Kenya, Ghana na south Africa hakuna cha mzungu wala cha demu. Utajua hujui baada ya kufanikiwa kukuingiza king. Wapo sana kwenye channels za Forex na cypto, wanakuambia utoe doller 1000 ndani ya masaa 72 utapata faida ya dollar 5000 wanakudanganya hakuna hasara wao wana wataalamu na mifumonwana trade kwa ajili yako, na wapo watoa ushuhuda wa screenshot za withdraw za madola ya kutisha lazima uingie king
 
Wakuu
Wamenitumia meseji ya kawaida imeingia kama STATUS kama inavyoonekana hapo juu ikiwa na ujumbe huu;

Hello, you have been selected for a part-time/full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/Hazel885

Sasa ukifuata hio link inakupeleka Telegram ambako inasomeka kwa jina hilo la Hazel kama inavyoonekana hapo na inakutaka utume meseji au uanzishe mazumgumzo.

Sasa naomba anayejua anifahamishe hao ni akina nani maana mimi siwajui.

Ahasante.View attachment 2259671View attachment 2259672View attachment 2259673
Tunangoja mrejesho tu ukishalizwa😌😆
 
Namimi walinitumia juzi hapo. Nikawabananisha wakakimbiaView attachment 2259755View attachment 2259756
Screenshot_20220613-205419_1655143039607.jpg
 
Hao status hata mimi wamenitumia , vile vile kuna mdada wakizungu aliwahi kuja wasap kutaka urafiki akasema kanitumia zawadi niwasiliane na dada yake yupo Afrika lamps mzigo wote na akanitumia namba yake na kujifanya wao kama wanajishughulisha na misaada sahemu mbalimbali na kunitumia picha watu wakipokea.

Mimi walinitumia picha za I phone toleo jipya , Smart Tv, Saa ya bei ya juu nk wakaniambia mitume address yangu ili nifikishiwe baadae wanataka na hela za usafirishaji kupitia FedX nikaona nataka kupiga na kitu kizito nikawatukane wote wawili kimalkia wakarudisha na kuninlock kabisa.
 
Wakuu
Wamenitumia meseji ya kawaida imeingia kama STATUS kama inavyoonekana hapo juu ikiwa na ujumbe huu;

Hello, you have been selected for a part-time/full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/Hazel885

Sasa ukifuata hio link inakupeleka Telegram ambako inasomeka kwa jina hilo la Hazel kama inavyoonekana hapo na inakutaka utume meseji au uanzishe mazumgumzo.

Sasa naomba anayejua anifahamishe hao ni akina nani maana mimi siwajui.

Ahasante.View attachment 2259671View attachment 2259672View attachment 2259673
Usiwe unafungua link hovyo hovyo, itaku cost siku 1
 
Hao status hata mimi wamenitumia , vile vile kuna mdada wakizungu aliwahi kuja wasap kutaka urafiki akasema kanitumia zawadi niwasiliane na dada yake yupo Afrika lamps mzigo wote na akanitumia namba yake na kujifanya wao kama wanajishughulisha na misaada sahemu mbalimbali na kunitumia picha watu wakipokea.

Mimi walinitumia picha za I phone toleo jipya , Smart Tv, Saa ya bei ya juu nk wakaniambia mitume address yangu ili nifikishiwe baadae wanataka na hela za usafirishaji kupitia FedX nikaona nataka kupiga na kitu kizito nikawatukane wote wawili kimalkia wakarudisha na kuninlock kabisa.
Haaa walishaanza kukupanga aisee,matapeli wanakuja kivingine kila siku
 
Back
Top Bottom