Inategemea unataka kusafiri Kwa sababu zipiNdg wapendwa wa JF naomba mwenye uelewa juu ya Passport ya kitabu,anisaidie mlolongo mzima wa viambatanisho na fomu zake taarifa gan za msingi za kujaza,
Asanteni kwa msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unataka kusafiri Kwa sababu zipi
KIKAZI.
Unahitaji
1.cheti cha kuzaliwa
2.Barua ya mwajiri
3.Barua ya mwaliko
4.Kitambulisho cha kazi
Biashara
1.TIN
2.Leseni ya biashara
3.Barua ya utambulisho serikali za mtaa
4.Kitambulisho
5.Barua ya Mwaliko.
Na Elfu 50 za passport.
Epuka matapeli Usitoe rushwa
Hongera dingi upo vizuriInategemea unataka kusafiri Kwa sababu zipi
KIKAZI.
Unahitaji
1.cheti cha kuzaliwa
2.Barua ya mwajiri
3.Barua ya mwaliko
4.Kitambulisho cha kazi
Biashara
1.TIN
2.Leseni ya biashara
3.Barua ya utambulisho serikali za mtaa
4.Kitambulisho
5.Barua ya Mwaliko.
Na Elfu 50 za passport.
Epuka matapeli Usitoe rushwa
Bado cheti cha mzazi,bado wadhamini hapo.bado muhuri wa wakili.aende akajionee mwenyewe.Inategemea unataka kusafiri Kwa sababu zipi
KIKAZI.
Unahitaji
1.cheti cha kuzaliwa
2.Barua ya mwajiri
3.Barua ya mwaliko
4.Kitambulisho cha kazi
Biashara
1.TIN
2.Leseni ya biashara
3.Barua ya utambulisho serikali za mtaa
4.Kitambulisho
5.Barua ya Mwaliko.
Na Elfu 50 za passport.
Epuka matapeli Usitoe rushwa
Inategemea unataka kusafiri Kwa sababu zipi
KIKAZI.
Unahitaji
1.cheti cha kuzaliwa
2.Barua ya mwajiri
3.Barua ya mwaliko
4.Kitambulisho cha kazi
Biashara
1.TIN
2.Leseni ya biashara
3.Barua ya utambulisho serikali za mtaa
4.Kitambulisho
5.Barua ya Mwaliko.
Na Elfu 50 za passport.
Epuka matapeli Usitoe rushwa