D DOOKY JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 370 Reaction score 50 Apr 27, 2012 #1 Naomba msaada, je kwa wale wenye Blackberry wanawezaje kufanya hadi email zao wanapotuma sehemu ya chini inaonyesha. Sent via Blackberry? Huwa wana set namna gani?
Naomba msaada, je kwa wale wenye Blackberry wanawezaje kufanya hadi email zao wanapotuma sehemu ya chini inaonyesha. Sent via Blackberry? Huwa wana set namna gani?