Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,819
- 56,295
Namwingiza upepo kijana hahaha. Asije anz akutoa machozi japo GPA za 0 zipo kweli
Kijana nikutoe wasiwasi pia nasoma TIA na juzi system ilifungwa kwasababu watu walivyo sikia matokeo yanawekwa wakakimbilia kuchungulia account zao nadhan nawe ni mmoja wao.
Ahsante mkuu yanatarajia kutoka lini?Kijana nikutoe wasiwasi pia nasoma TIA na juzi system ilifungwa kwasababu watu walivyo sikia matokeo yanawekwa wakakimbilia kuchungulia account zao nadhan nawe ni mmoja wao...
SE empty hukufanya paper za mwisho!? Na CA zko gudi wew ni kipanga haina kufeli
Uyu akipelekw coet atapakimbia arudi kijijini kulima mahindi😂😂😂Sasa mtu u disco chuo kama T.I.A wew si unakuwa kilaza wa kutupwa
Wewe kaka akili ya kubeti duh hya bana
Vipi Kaka!Wewe kaka akili ya kubeti duh hya bana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa mtu u disco chuo kama T.I.A wew si unakuwa kilaza wa kutupwa
2.1 inabidi akaze kweli kweli sem 2 lasivyo ataliwa kichwa
Unampa moyo akat yuko danger zone 2.1 ,sem tu akipata 1.8 kashaishaMakalai ya kutosha. Cha muhimu hujasup Hongera.