Msaada: Hapa nimedisco au?

Kama zipi
Angalia table uliyoweka bado iko wazi. Pili huja tueleza hizo CA Unatakiwa upate ngapi ili uruhusiwe kufanya end of Semester Exams. Lakini la msingi zaidi unatakiwa usome examination and progression regulations ya chuo chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…