Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 439
- 664
HahahahGPA 0. Karibu kitaa
NilishtukaGPA 0. Karibu kitaa
Wengine wanayo wengine ndo hivyo kesho nitaenda kupata muongozo
Ukipata GPA 0 Kuna special??kagonge special sep
ndio special yenyewe hiyoUkipata GPA 0 Kuna special??
Akili yote umeamishia kwenye kubet .lazima ushtukeNilishtuka
Hehehe nikweli mkuu mtu Kama Huyo hata Chuo cha ushonaji hafai, Hapo jamaa hajafanya mitihani So Ana specialSasa mtu u disco chuo kama T.I.A wew si unakuwa kilaza wa kutupwa
Ulitaka kumjambiza mwenzioGPA 0. Karibu kitaa
Kapate muongozo,hapo matokeo hayajakamilikaWengine wanayo wengine ndo hivyo kesho nitaenda kupata muongozo
Kama zipiHujatoa details za kutosha.
Mitihani nilifanya lakiniWewe ni Special...