lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 905
AVC - Award Verification Code.
Habari yenu.
Nahitaji kufanya AVC kupitia [http://41.93.40.136:8080/navs/]: Ila kila nikijaribu kuingiza Username & Password inasema haziko valid. Nilijisajiri mwaka jana 2016. Sikupoteza nywila, nakumbuka walinitumia kwa njia ya email na nikaihifadhi kwenye njia hiyo mpaka leo hii.
Nikijaribu kureset password inanihitaji niwe na Comfirmation/Payment Code ambayo nilipatiwa kipindi nafanya malipo kupitia MPESA. Comfirmation/Payment Code sikuweza kuihifadhi ikiwa nilinuwia kuhifadhi username & password pasi na kuthubutu kuzipoteza. Ni mwaka sasa tangu nizitumie (username & password)
Hivi nashindwa kupata AVC. Nikiwapigia NACTE simu zao zinaita tu bila na majibu. Au huenda awafanyi kazi jumamosi? Lakini si wamebainisha bayana kwenye tovuti yao ambako namba zao za simu zinapatinaka kuwa wanapatikana saa 24 kwa msaada zaidi.
Hebu naombeni ushauri wenu kwa wale wenye ufahamu wa masuala haya....//
Asante.