Msaada gx 100 toyota cresta

mkubwa mwambie fundi acheki tie rod hands,ball joints juu chini,wsh bns,ndio ugonjwa mkubwa wa hayo magari kisha fanya greasing mkuu.Halafu fundi msimamie ila kama unamwamini inawezekana hamna haja ya kubadili spare ni ulegevu hivyo ni kukaza 2.Pole mkuu itarudi hali yake ukizingatia
 
Bei za kawaida unaweza ku specify mkuu...kwa mfano kwa tatizo kama hilo naweza toa ngapi?

Mkuu yaani utaona gari kama mpya hapo andaa milioni moja gari itasimama kama mpya
 
SIjasoma Coments zote. Ila Angalia Engine Mountings kama hazijakwisha. Zina changia gari kugonga
 

Umecheck engine mounts? Nilishakuwa nahiyo gari na kupata tatizo kama hilo ila sina hakika kama ndio hilo.
 
'hiyo si TOYOTA mkuu..............wapo pale POSTA nafkiri sina hakika,tatizo litaisha mkuu'
 
hata mimi namshauri acheki matairi, na kama alibadili tire size au rim size inaweza kusumbua kwa aina hiyo ya gari,,,,otherwise acheki steering rack, na tie rod ends
check tie-rod hands zaidi, tena kila Miezi 6 iwapo kila siku wapita rough roads. Pia steering rack cheki. Ika MSISITIZO TIE-ROD HANDS! Zikigonga maana yake no dignal kuwa ANYTIME zinachomoka. Zikichomoka safari mwisho... husogei maana tair zitakia moja kushoto..moja kulia. You dont want that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…