Nimeambiwa nitume kwenye Account fulani!
Daa sasa najiuliza hizo hela na Siku!
na Mzazi Mwenyewe Alishastaafu Miaka 15Iliopita.Ni Mzazi na kutokana na Umri wake kutembea pia ni Issue!
mimi Niko Dar,
yaani ningekuwa mkoani labda ningemfuata huyo Mkuu wa Kitengo cha Ardhi aliemuandikia
yaani Baba Amenipigia simu na kunitumis whatsaap!
Nimehuzunika sanaa aisee[emoji30][emoji30]