Nenda geleji kagua miguu yote ya mbele kuanzia bol joint,tailod hand,rek hand na wishbon bush kama viko sawa kagua tairi zako kama zimeliwa upande chukua za nyuma kama ziko vzur ziwekembele kisha Pima wheelalingment na hakikisha unapima upepo tairi zote ziwe sawa yani kama kushoto35 na kulia35