thebusdriverclassc
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 146
- 66
Wadau habari!!Leo nimepatwa na janga nikiwa barabarani kuelekea kwenye mizunguko yangu,ghafla gari yangu aina ya toyota-ist ilivuta(kupiga resi)kisha kuzima,hapa nilipo nimemwita fundi aje kuichek....ila nikaona cyo vibaya kuingia humu jukwaani kupata abc za tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini.Mimi cyo mtaalamu sana wa magari,sasa naomba kujulishwa kabla huyu fundi hajafika maana nao hutumia mwanya huu kukuambia hata vitu visivyokuwepo na ukizingatia uwezo wa kuipeleka kwa garage kubwa sina..nawategemea hawa hawa mafundi wa garage za mtaani.Ushauri wako ni muhimu pia unaweza kuniuliza pale ambapo cjaeleweka vizuri asanteni.