joseph99 Member Joined Feb 21, 2016 Posts 19 Reaction score 27 Feb 28, 2019 #1 Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo sema ,Gari yangu aina ya voltz inazima nikiweka kwenye D au R shida inaweza kuwa nini?? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo sema ,Gari yangu aina ya voltz inazima nikiweka kwenye D au R shida inaweza kuwa nini?? Sent using Jamii Forums mobile app
L liganga4 JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 293 Reaction score 195 Mar 1, 2019 #2 joseph99 said: Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo sema ,Gari yangu aina ya voltz inazima nikiweka kwenye D au R shida inaweza kuwa nini?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inawezekana fuel system Sent using Jamii Forums mobile app
joseph99 said: Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo sema ,Gari yangu aina ya voltz inazima nikiweka kwenye D au R shida inaweza kuwa nini?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inawezekana fuel system Sent using Jamii Forums mobile app
L liganga4 JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 293 Reaction score 195 Mar 1, 2019 #3 Tatizo kwenye fuel system I mean inawezekana no low fuel pressure liganga4 said: Inawezekana fuel system Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kwenye fuel system I mean inawezekana no low fuel pressure liganga4 said: Inawezekana fuel system Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,805 Mar 1, 2019 #4 Ukiweka gear dizaini kama inashtuka hivi eeh? Kuna uwezekano kuwa gear ya free haifanyi kazi... Yani kunaweza kuwa na shida kwenye converter au gear box nzima kwa ujumla.
Ukiweka gear dizaini kama inashtuka hivi eeh? Kuna uwezekano kuwa gear ya free haifanyi kazi... Yani kunaweza kuwa na shida kwenye converter au gear box nzima kwa ujumla.
joseph99 Member Joined Feb 21, 2016 Posts 19 Reaction score 27 Apr 18, 2019 Thread starter #5 Mrejesho:Tatizo lilikua sensor ya vvti ( vvti sensor)
Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,517 Reaction score 9,437 Apr 18, 2019 #6 joseph99 said: Mrejesho:Tatizo lilikua sensor ya vvti ( vvti sensor) Click to expand... Sawa...magari ya siku hizi hayataki spana sana....kipimo kwanza unaweza kukuta ni kajitu tu ka kuchomoa na kuchomeka..kwisha
joseph99 said: Mrejesho:Tatizo lilikua sensor ya vvti ( vvti sensor) Click to expand... Sawa...magari ya siku hizi hayataki spana sana....kipimo kwanza unaweza kukuta ni kajitu tu ka kuchomoa na kuchomeka..kwisha
A analgesic JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 763 Reaction score 1,266 Apr 20, 2019 #7 Boeing 747 said: Sawa...magari ya siku hizi hayataki spana sana....kipimo kwanza unaweza kukuta ni kajitu tu ka kuchomoa na kuchomeka..kwisha Click to expand... Kabisa mm nilisumbuka gari ilikuwa haina nguvu nikabadilisha na pampu wapi kwenda kupima tatizo air sensor nikabadili tatito kwaheri
Boeing 747 said: Sawa...magari ya siku hizi hayataki spana sana....kipimo kwanza unaweza kukuta ni kajitu tu ka kuchomoa na kuchomeka..kwisha Click to expand... Kabisa mm nilisumbuka gari ilikuwa haina nguvu nikabadilisha na pampu wapi kwenda kupima tatizo air sensor nikabadili tatito kwaheri