Njoo tubishane
Member
- Jan 6, 2018
- 39
- 34
Kagua fuse, ipo mojawapo imeungua, ukiondoa hiyo nakuweka nyingine gari itawaka..sasa nimerudi mchana huu nimechukua na gari ya jamaa mwingine kajaribu kunibust imegoma.haitaki kupokea moto.
Nb.yale mafeni ni auto nikiwasha yalikuwa yanawaka lakini sasa hayawaki, hata honi limegoma kupiga.
Inawezekana ingawa sina uhakika itakuwa ni fuse ya nini?Kagua fuse, ipo mojawapo imeungua, ukiondoa hiyo nakuweka nyingine gari itawaka.
Ok shukrani kwa ushaurilabda tairi zimeisha upepo
Anaumwa mguu unataka kumpasua kichwalabda tairi zimeisha upepo
Amesema alienda kukagua OIL wakati engine inazinguka kitu ambacho hakishauriwi.Angekuwa amefunga tai na tai ikanaswa na hizo propeller tungekuwa tunazungumza mengineFeni haitakiwi kuzunguka ikiwa engine haipo moto. Kazi yake ni kupoza maji ya radiator yanapofika umoto fulani, ikiwa hayo maji hayakufika huo umoto basi feni haitakiwi kuzunguka. Feni nyengine huwa ni kwa ajili ya AC ila i believe unazungumzia kuhusu feni ya kupozea maji ya moto. Jaribu kusubiria gari ipate moto ule mshale wa temp ufike katikati, kisha subiria, ukiona mshare unaendelea kuvuka kati na kupata na feni haifanyi kazi, zima gari tizama fuse. Katika fuse box itakuonesha fuse ipi ipo wapi na namba nayotakiwa, kama sikosei fuse ya feni la radiator ipo obvious imeandikwa FAN, icheki kama iko powa. Kama haipo powa badilisha. Ukiona bado, mpelekee fundi akutiamie Thermostat.
HahhaahaaaImeingia kimagumashi hiyo bongo.......kailipie kodi kwanza....
We ulipotelea wapi ww??Feni haitakiwi kuzunguka ikiwa engine haipo moto. Kazi yake ni kupoza maji ya radiator yanapofika umoto fulani, ikiwa hayo maji hayakufika huo umoto basi feni haitakiwi kuzunguka. Feni nyengine huwa ni kwa ajili ya AC ila i believe unazungumzia kuhusu feni ya kupozea maji ya moto. Jaribu kusubiria gari ipate moto ule mshale wa temp ufike katikati, kisha subiria, ukiona mshare unaendelea kuvuka kati na kupata na feni haifanyi kazi, zima gari tizama fuse. Katika fuse box itakuonesha fuse ipi ipo wapi na namba nayotakiwa, kama sikosei fuse ya feni la radiator ipo obvious imeandikwa FAN, icheki kama iko powa. Kama haipo powa badilisha. Ukiona bado, mpelekee fundi akutiamie Thermostat.
Dashibord imasoma mkuu na taa zinawaka zoteKwanza: Unapima oil wakati umewasha gari? Nani alikufunfisha kufanya hayo madudu. Usirudie, ukiwasha gari oil inaanza mzunguko na hauwezi kupata kipimo sahihi...kimsingi hupati kipimo chochote.
Pili: toa maelezo zaidi, dashboard inasoma ukiweka switch on? Muhimu kujua hilo..
Kama haisomi kabisa check ignition fuse au check fundi aangalie relay. However, hilo la kugoma kupiga hata honi nalo neno...angalia taa pia haziwaki?
Ukimaliza kuchokonoa ukishindwa...nitafute, andaa makinikia moja bombadia flani na maji baridi.
Sitarudia tena hiyo kitu mkuuAmesema alienda kukagua OIL wakati engine inazinguka kitu ambacho hakishauriwi.Angekuwa amefunga tai na tai ikanaswa na hizo propeller tungekuwa tunazungumza mengine
Nakua nalo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Ulikua hujafika umri wa kumiliki gari kijana, too
Much mediocrity
Nakua nalo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]