Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,495
Mara nyingi huwa ina stuck. Nikibonyeza power button huwa inazima na haiwaki tena. Ni mpaka ni-press 'power button' na 'volume up' keys kwa pamoja ili ni-reboot. Hii hutokea hasa ninapokuwa kwenye Whatsapp. Mara nyingine screen huwa ina-flick tu. Sometimes huitumii lakini unakuta ime-overheat. Kama kuna mwenye msaada naomba anisaidie kutatua haya matatizo.
ina muda gani tangu ununue?
Nina shida kama yako ila nilishajua Samsung yangu sio original.
wipe cache na user data kabisa ukiwa kwenye recovery
Asante sana mkuu. Hebu ngoja nijaribu then nitaleta mrejesho.
Fanya hivyo haita stuck tena
Naona adroid yangu haina general cache clear inayopatikana through storage. Ku-clear mojamoja si kazi ndogo. Ngonea ni-download 'app cache cleaner' nipige zote. Then nitakwambia mkuu.
Nilishaingia recovery mode nika-wipe 'cache partition' lakini naona bilabila tu. Labda nijaribu na hiyo 'user data'.achana na hzo apps....ingia recovery then wipe cache and then wipe user data...labda nikuulize unaijua recovery?
achana na hzo apps....ingia recovery then wipe cache and then wipe user data...labda nikuulize unaijua recovery?
Niki-wipe data siwezi kupoteza chochote? Coz naona kuna kuna option ''wipe data/factory reset''.