Ndio nnayoSawa Hiyo simu unayo hapo karibu?
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Nimeicheki inasema iriginal kabisa labda km kuna njia nyengine niitizame unifahamishe.Hiyo sio original 100%.
Mrs Van
Hapa nlipo halotel iko fasta, setting yoyote utakayoweka spidi ni ile ile ata ukiweka 2gSo ukiset 3g harafu ikaendelea kusoma 4g, je internet inakuwa speed IPI?
A) 2g
B) 3g
C)4g
D) disabled
Nichagulie jibu moja hapo
Samsung wana outsource software. Hyo situation ipo zaid kny note series. Simu muda wote inasoma 4G hata kama unatumia line ya 3G au upo eneo halina network nzuri. Lakin ina qualify kwenye kuonesha ni genuineNimeicheki inasema iriginal kabisa labda km kuna njia nyengine niitizame unifahamishe.
Ndo mana sioendi android phones too many fake products mpaka inakuwa difficult kujua
Yaani ninetokea kuichukia hafla. Hizi mambo ndio mana sipendi android, software made by someone else na hardware made and designed by someone else.Samsung wana outsource software. Hyo situation ipo zaid kny note series. Simu muda wote inasoma 4G hata kama unatumia line ya 3G au upo eneo halina network nzuri. Lakin ina qualify kwenye kuonesha ni genuine
Mrs Van
Hamna solution hapo zaid ukaclaim kwa muuzajiYaani ninetokea kuichukia hafla. Hizi mambo ndio mana sipendi android, software made by someone else na hardware made and designed by someone else.
Nimejaribu kugoogle sijaona solution
Mkuu hapo ulifeli ww mwenyew..Habari wadau,
Nahitaji msaada kutoka kwenu wadau. Mimi nishazoea iphone na android si mambo yangu kabisa mana sijaipenda. Sasa juz kati nikaona wacha nijaribu kutumia android, na flagship katika android ni samsung. Nikaamua kuchukua note 5 mana nimeioenda the look. Ni 2 days tangu niinunue na sasa nimeanza kuichoka. Nilifikiri nineuziwa feki lakini ni original mana nimedownload app moja ivi kutoka playstore kuthibitisha imenambia from samsung wenyewe, pia nimetumia imei.info kucheki imei imeonesha ni from samsung kabisa. Kwaio nikajiridhisha. Nimecheki canera quality iki bomba kabisa sound na mengine.
Sasa ishu imeanza wakati nataka kutumia internet. Nineweka settings za halotel fresh apo apo mnara ukapanda. Mi najua halotel hawana 4g lakini kwenye network bars inaonesha 4g, nkajua labda wanayo lakini haikuwa ikipanda kwenye iphine yangu. Ili nisimalize chaji nkaona nichange kwenda 3g only, nikaingia settings nikabadilisha, network ikajieka sawa, lakini cha kushangaza bado inasoma 4g, nikachange kueeka 2g only lakini still network inakaa 4g!!!! Ninejaribu kuchokinoa naona hamna kitu. Ipo 4g tu hata kama uki disable 4g inakaa 4g!
Jengine nkapata shida kuwasha hotspot, kila nikiiwasha haiwaki, klnimezima cmu nkajaribu haiwaki hotspot, mpaka nimefanya factory reset ndio naona inekubali lakini huyo 4g bado anakaa yeye tu
Msaada wenu tafadhalini nawaomba
Galaxy note 5 model SM-N920TMkuu hapo ulifeli ww mwenyew..
Hiyo ni note 5 model gani? Nina uhakika itakua ni note 5 At&t au Verizon au T mobile...
Hapo kuna kesi ya bands ndio ulokutana nayo wewe..
Taja full model tuone kwanza.
bro hyo cmu yako ni t-mobile sio internation version na samsung ikiwa ya mtandao fulani.. mtandao ndio unahusika problem za cmu zao japo kuwa manufactured na samsung,hiyo shida unayopata nikwajili hyo cmu niya mtandao na wanakuwa wana customize wanavyotaka ikiwemo kubana hotspot na hizo feature za band za 4g na zingine.... so ww mwenyewe ndio umenunua simu hyo.... by the way android wenzio wanachokipenda ipo free zaidi ya ios.. mambo yakubanwa kila kitu wengine tunaona gozi gozi,mambo hutii nyimbo hadi kwa itune nani anatakaGalaxy note 5 model SM-N920T
sio att wala verizon mkuu. Haina logo ya hizo network wala related settings.
All in all, kama ni hivo haikuwa na haja ya kuweka option ya kuchagua network mode. Hii device ilivotoka ni very expensive. Inaonesha Samsung they don't pay attention to their devices
Sasa si unaona 920T ni T mobileGalaxy note 5 model SM-N920T
sio att wala verizon mkuu. Haina logo ya hizo network wala related settings.
All in all, kama ni hivo haikuwa na haja ya kuweka option ya kuchagua network mode. Hii device ilivotoka ni very expensive. Inaonesha Samsung they don't pay attention to their devices
Hebu nipe maujanja.... ivi kuna njia yoyote ya kuigeuza ikawa international version? Nikifanya rooting je hizi restriction zitapoteaSasa si unaona 920T ni T mobile
Hapo lazma bands zikupe shida..ulitakiwa kujua bands kabla ya kununua simu za mitandao,,
Ndio mana tunasema tatizo ni wewe mwenyew
So far kunakuaga na menyu za kuforce bands kwa baadh ya simu..ngoja nichek kwanza then nitakujulisha
Hakuna njia ta kutoa hizo limitations za band mana ni hardware issueHebu nipe maujanja.... ivi kuna njia yoyote ya kuigeuza ikawa international version? Nikifanya rooting je hizi restriction zitapotea
No hakuna 4g mana halotel hawana 4gHakuna njia ta kutoa hizo limitations za band mana ni hardware issue
Ila kunakuaga na hidden menyu ambayo kwa some phones kuna kua na additional bands...kwanza sehem ulipo kuna 4G?
Sent from my SM-G906K using Tapatalk
Ni pm kuna video nikutumie whatsapp nmetengeneza instructions za kufanya.No hakuna 4g mana halotel hawana 4g