Fungus ni viumbe ambao tunaishi nao hata mm nmesumbuliwa kwa muda sanaaa ila niliambiwa ili fungus aweze kuleta madhara kama hayo lazima mwili wako uwe umepungukiwa vitamin,, so kama mwili wako ukipata vitamin cell zitampambana nao hao fungus na hawataweza kuonekana,,, mm nltumia vidonge ving vya fungus ila skupona ndipo nilipoamua kutumia vidonge vya multvitamini vitatu kw siku,, ilichukua kama siku tatu zikawa zimeanz kupona kabisa,, nakushaur ufanye hvo