Msaada: Fundi wa rinters-epson px660

Michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
662
Reaction score
651
Natafuta fundi wa printers ina ya epson px660,ndiyo ninayotumia.imenisumbua muda mrefu,hadi sasa sijapata fundi wa kunisaidia.Ina tatizo la paper jam.kama atapatikana mikoa ya dar,dodoma au hata hapa morogoro,japo nimeulizia sana sijapata,mie niko tayari kuileta,au yeye kuja;-gharama za nauli na ufundi zitakuwa juu yangu.Niko morogoro mjini hapa pande za msamvu.nitashukuru kwa ushirikiano wenu wadua.


Mhimu:Awe fundi wa uhakika aliyekwisha kutana na printers kam hizi na tatizo kama hili la kwangu na mwenye uzoefu wa kutosha.



Kwa mawasiliano: piga simu no. 0717 393339 utanipata.

JF;TOGETHER WE CAN
​
 
Kwa wale mnaosumbuliwa na Matatizo ya printer za epson tuwasiliane kwa 0766 320 252
Tupo kariakoo dar.pia tunauza bidhaa mbalimbali, kama karatasi za picha, wino, spair, cover, cd na dvd , epson printer, hit machine, canon machine , duplicator machine, canon paper, hit paper.nk
 

Karatasi za picha mnauza pesa ngapi? Je mpo mtaa gani hapo Kariakoo? Ukinipa jina la office poa zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…