ipo moja hapa karibu na stend ya mabas ya Dar, bei sh laki 7
Mkuu mimi naitwa Washawasha na huyo mwengine anaitwa washwa washwa,na huyo sio mimi.Washawasha hio nafasi haina kilemba? na ni stend arusha upande upi?
je iko ktk senta nzuri yaani barabarani
mkuu huyu jamaa anawachanganya wengi na hili jina.Duh Nimekuelewa???
mkuu huyu jamaa anawachanganya wengi na hili jina.
Nalog off
Mi nakuja na langu washer washer hapo sasa