Budget mkuu.
Mfano ofisi ina bajeti ya matumizi mengine 5M, je mtanunua Curved Samsung nchi 65 ama bora kununua Hisense 58" kwa 1.4M na 3.6M mkanunua Fridge, Heater ya maji, Min fridge na makorokoro mengine.
Kikubwa ni bajeti mkuu ila kwenye taasisi yenye hela kama TRA, BOT, TANESCO nk wao bajeti kwao sio shida sana utakuta vitu ama furnitures zao ni za kiwango cha kimataifa.