habari wana jukwaa?
screen yangu SANSAN inawaka vizuri lakin haioneshi picha,inatoa audio tu nikiunganisha na king'amuzi.inaonesha si kitu kikubwa kimepata hitilafu,naomba mwenye ujuzi na tatizo hili anisaidie kunijulisha tatizo.
Sorry mkuu SANSAN ndiyo nini!? Ni brand ya wapi hiyo, ? Ina warranty? Kama ina warranty na ni valid, unaweza kuwasiliana na agent aliyekuuzia ukapata ufumbuzi.
Duh kitu mchina hicho! Ushauri; unaponunua vitu jaribu kufanya research kabla ya kununua mm nafahamu vitu vingi vya electronics, sijawahi sikia au kuona brand ya SANSAN