Msaada: Flash Imejaa Data za GB 4 ila Ina File za MB 2 Tu.


tumia cmd commandline!
 
bado mkuuu

Hebu jaribu hii command line

ATTRIB -H -R -S /S /D G:\*. *

Ambapo herufi G itakuwa replaced na label ya hiyo flash yako itategemeana itapewa label kwenye computer yako, hakikisha unaangalia label kabla ya kutype hiyo command
 
Tatizo watu mnakimbilia kutumia windows ambazo zinalimitations nyingi karibu Linux world tu enjoy maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…